Je, Upo Tayari Kuendesha Uwekezaji Wako wa Nyumba Bila Stress?
Na Kutengeneza *Generational Wealth* Bila Pressure.
Jibu Maswali 10 Chini Hapo 👇 – Upate Mwanga Kabisa
Bila Stress ❤️
More Cashflow 📈
Generational Wealth 💸
Kuhusu Sisi
Ifahamu Maghettoni
Tunawezaje Kukusaidia?
Maghettoni ni kampuni ya KiTanzania yenye viwango vya kimataifa
inayowasaidia wawekezaji kwenye nyumba za kupangisha kutimiza
ndoto zao
Kwa kutumia teknolojia ya kisasa, tunakupa uwezo wa kufuatilia
malipo, kudhibiti gharama, na kuongeza faida yako kwa urahisi.
Watu Nyuma ya Mradi
Godlisten Gerald
Mwanzilishi - Kutoka Tanzania
Gift Christian
Mwanzilishi - Mtanzania aliepo Marekani
Utafiti tuliofanya juu ya biashara ya nyumba za kupanga
Tanzania na Marekani uligundua kuwa wanaofanya biashara hii
Marekani wanafanikiwa kwa kasi, wakitengeneza faida zaidi,
pasina kuwa na stress kulinganisha na Tanzania. Hii ni kwa
sababu wanatumia mifumo bora na ya kisasa kufanya kazi zao.
Tathmini Yako Ya Kwanza
Jibu maswali yafuatayo ili upate kufahamu kama mfumo huu unaweza
kukusaidia kuendesha biashara yako ya nyumba za kisasa kwa ufanisi
mkubwa.