Je, Upo Tayari Kuendesha Uwekezaji Wako wa Nyumba Bila Stress?
Na Kutengeneza *Generational Wealth* Bila Pressure.
Jibu Maswali 10 Chini Hapo 👇 – Upate Mwanga Kabisa
Bila Stress ❤️
More Cashflow 📈
Generational Wealth 💸
Kuhusu Sisi
Ifahamu Maghettoni
Tunawezaje Kukusaidia?
Maghettoni ni kampuni ya KiTanzania yenye viwango vya kimataifa inayowasaidia wawekezaji kwenye nyumba
za kupangisha kutimiza ndoto zao
Kwa kutumia teknolojia ya kisasa, tunakupa uwezo wa kufuatilia malipo, kudhibiti gharama,
na kuongeza faida yako kwa urahisi.
Watu Nyuma ya Mradi
Godlisten Gerald
Mwanzilishi - Kutoka Tanzania
Gift Christian
Mwanzilishi - Mtanzania aliepo Marekani
Utafiti tuliofanya juu ya biashara ya nyumba za kupanga Tanzania na Marekani
uligundua kuwa wanaofanya biashara hii Marekani wanafanikiwa kwa kasi,
wakitengeneza faida zaidi, pasina kuwa na stress kulinganisha na Tanzania.
Hii ni kwa sababu wanatumia mifumo bora na ya kisasa kufanya kazi zao.
Tathmini Yako Ya Kwanza
Jibu maswali yafuatayo ili upate kufahamu kama mfumo huu unaweza kukusaidia kuendesha biashara yako ya nyumba za kisasa kwa ufanisi mkubwa.