Je, Upo Tayari Kuendesha Uwekezaji Wako wa Nyumba Bila Stress?

Na Kutengeneza *Generational Wealth* Bila Pressure.

Jibu Maswali 10 Chini Hapo 👇 – Upate Mwanga Kabisa

Bila Stress ❤️ More Cashflow 📈 Generational Wealth 💸

Kuhusu Sisi

Ifahamu Maghettoni

Tunawezaje Kukusaidia?

Maghettoni ni kampuni ya KiTanzania yenye viwango vya kimataifa inayowasaidia wawekezaji kwenye nyumba za kupangisha kutimiza ndoto zao

Kwa kutumia teknolojia ya kisasa, tunakupa uwezo wa kufuatilia malipo, kudhibiti gharama, na kuongeza faida yako kwa urahisi.

Watu Nyuma ya Mradi

Matowo

Godlisten Gerald

Mwanzilishi - Kutoka Tanzania

Gift Christian

Mwanzilishi - Mtanzania aliepo Marekani

Utafiti tuliofanya juu ya biashara ya nyumba za kupanga Tanzania na Marekani uligundua kuwa wanaofanya biashara hii Marekani wanafanikiwa kwa kasi, wakitengeneza faida zaidi, pasina kuwa na stress kulinganisha na Tanzania. Hii ni kwa sababu wanatumia mifumo bora na ya kisasa kufanya kazi zao.

Tathmini Yako Ya Kwanza

Jibu maswali yafuatayo ili upate kufahamu kama mfumo huu unaweza kukusaidia kuendesha biashara yako ya nyumba za kisasa kwa ufanisi mkubwa.

Maendeleo Yako 0%

Taarifa Zako Binafsi

Hali Yako Ya Sasa

Chagua jinsi unavyosimamia biashara yako ya nyumba za kupanga kwa sasa:

Nasimamia kutumia madaftari

Natumia daftari za kawaida kuhifadhi rekodi zote

Nasimamia kutumia mifumo mbalimbali ya kompyuta

Natumia programu mbalimbali za kompyuta kusimamia

Nimemkabidhi mtu anisaidie kusimamia

Nina mtu mwingine anayenisaidia kusimamia nyumba zangu

Malengo Yako

Chagua jinsi ungependa kusimamia biashara yako ya nyumba za kupanga:

Kusimamia nyumba zangu mwenyewe nikiwa na mfumo mzuri

Ningependa kusimamia mwenyewe kwa mfumo rahisi na wa kisasa

Kukabidhi mtu asimamie nyumba yangu huku nikiwa na mfumo unaonihusha moja kwa moja

Ningependa mtu asimamie lakini nifuatilie mambo kirahisi

Changamoto Unazokabiliana Nazo

Chagua changamoto zozote unazokabiliana nazo (unaweza kuchagua zaidi ya moja):

Njia Gani Unaona Inaweza Kukusaidia Kwa Haraka?

Andika maelezo mafupi hapo chini:

Asante Kwa Kujisajili!

Tumepokea majibu yako. Tutawasiliana nawe kwa muda mfupi kupitia barua pepe uliyoandika.